BuySimu
🇹🇿Tanzania

Apple Financing

Miliki iPhone na Apple devices Tanzania kwa mpango rahisi wa Lipa Kidogo Kidogo (BNPL).

BuySimu Logo

Kikokotoo cha Mikopo ya Apple

Chagua muda wa malipo

Vifaa Halisi
Tunatoa iPhone na Smartphones nyingine halisi zenye dhamana.
Uidhinishaji wa Haraka
Pata majibu ya maombi yako ya mkopo ndani ya muda mfupi.
Malipo Rahisi
Lipia kidogo kidogo kupitia mitandao yote ya simu Tanzania.

Vigezo na Masharti

1

Kitambulisho cha Taifa

NIDA au kitambulisho kingine kinachotambuliwa kisheria.

2

Taarifa za Kipato

Taarifa za miamala ya simu au benki kwa miezi 6 iliyopita.

3

Kianzio (Deposit)

Malipo ya kianzio kuanzia 40% ya bei ya kifaa.

4

Umri

Muombaji lazima awe na umri wa kuanzia miaka 18.